@JayOchieng1

2025 from Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช hata aimbe komasava mara billion Moja you can't compare this with those

@HeriMagwaza-cd4wg

Jamani mziki ndio huu sio sasa kelele nyingi

@bibianayonah9127

Sikujui hunijui Ila nakuombea Kher wewe na Familiaa  yakoooo

@faithfultoyeshua4576

Nilishindwa kumuambia. Ni kitambo lakini na ilikuwa time hii song ilikuwa released

@gladnesstarimo6035

Why chid๐Ÿ˜ข my heart is hearting, chid benz is so talented, he is a pure talent, duh can someone do something plz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

@muhammadomar1787

Huu wimbo hauchuji miaka nenda miaka rudi.I miss this eraโคโคโคโคโค

@patrickandika3676

Chidi to the benz is the GOAT of tz rap.๐Ÿ’ฏ

@KikubilaJunior

Latiffah toka 2024 tuko pamoja toka ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ  DRCongo , spark alishaka enda wapi aise

@AlbertWilbert-r6r

Huu kipindi hicho ndo ilikuwa kubwa kuliko jmn daaah mlijua sana ๐Ÿ˜˜โคโคโคโค๐ŸŽ‰

@jnote9283

Dah nimekumbuka mbali sana, muda ni kitu cha ajabu sana. Bonge ya ngoma.

@ndunechabo8062

Kazi safi inaishi

@shukuruissa5525

Si kwamba siwezi bila ww no 
Naweza ishi bila ww ila tatzo rohoโคโค chidy๐Ÿ˜ฎ October 3 2024

@RobertoFisso

Merry popote ulipo nimeoa lakini nikiskiza huu wimbo nakumbuka ata tulipokaa pale Florian sec nikijaribu kukufanya uwe wangu peke yangu ila ndo ivo haijawa rizki umeolewa nimeoa!! Nakukumbuka sana merry wangu

@Bad_bouy13

Dec 2024 nikiaga mwaka na wimbo huu ๐ŸŽ‰

@arnoldekasekemasimango1478

Mbaka leo naisikiya 2024

@radaonlinetv1922

Ndio naanza mahusiano yangu na mpenzi wangu... Ila full painful... Ngoma kali sana.. Wanawake sio watu wa kuaminika kivile... Pipi ya kijiti tu ishamptoa akili..

@surusuru1994

Wow nilikuwa tarasa4 ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

@bestshingwa572

Remember this guy he's good musician pleas comeback spark

@sylvanosalumu5840

Kitambo kidogo ili goma linanikumbusha mengi,so nostalgic indeed.

@mulondakiyomarodriguerodri7261

niko congo Drc iyi wimbo imenikumbusha mengi sana Mungu endelea kulinda awa wasani wazuri enzi iyi walifanya kazi kabisa ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰